100
Wapenzi wadogo Bobby na Karen hutembea kwenye mwangaza wa mwezi nyuma ya Hifadhi na Makao ya wenye kurukwa Akili.
101
Usiku wenye mbalamwezi, Bobby na Karen hutoka kwenye gari la Bobby aina ya Chevrolet Chevelle SS huku wakipitia hifadhi ya zamani.
102
Mwezi mzima hung’aa nyuma ya nyumba ya hifadhi ya wazimu isiyotumika.
103
Bobby na Karen huenda mahali ambapo wamekatazwa kwenda.
104
Ni watu wangapi walioteswa lazima wamepitia njia hii!
105
Hifadhi ya wazimu ni usanifu mzuri wa raia unaoanguka sasa na kuwa gofu.
106
Bobby ana mipango ya kupendeza kwa Karen, lakini hiyo kelele ni nini?
107
Akiwa ameingizwa ndani ya hifadhi!
108
Karen anasafirishwa, anatekwa, na kukamatwa na myakuzi wa mitambo.
109
Wanyakuaji wote huanza kumvua nguo Karen.
110
Wanyakuaji wakuu huwa kamili katika kazi zao.
111
Karen asiye na msaada hunyunyizwa maji moto na sabuni.
112
Usisimukaji wa sifongo.
113
Ni nadra kupata kifaa cha kukausha nywele kuonekana kuwa na giza sana na kuwa ya kutisha.
114
Karen anakamatwa na kusafirishwa tena.
115
Wakati huo, Zhelezor roboti inamleta Bobby uso kwa uso na Daktari Vragov.
116
Akiwa uchi na mwenye aibu, Karen amefungwa kwenye bomba lililo na uwazi.
117
Bobby hufanya jaribio moja la kusisimua anapofika, halafu kuna mnururisho wa mmweko wenye rangi nyeupe ya kupofusha.
118
Nyama ya mwili wa Karen hufanywa kuwa kama nyama inayolika yenye rangi ya kijani kibichi, na kuifanya mifupa yake ionekane. Mmweko wa buluu.
119
Karen ana rangi ya kijani kibichi. Mmweko nyekundu.
120
Kwa mshtuko wa Bobby, Karen ni dimbwi la kijani kibichi, mara moja humezwa.
121
Bobby anachukua silaha ya kwenda kupigana na Daktari Vragov.
122
“Je! Unaona bomba hili, kijana? Kila kitu mpenzi wako alikuwa, fomu yake, utu wake, kumbukumbu zake, zote zimehifadhiwa humu.”
123
“Labda ningeweza kumtengeneza upya. Au ningeweza kummwaga chini kwenye mtaro huu. Je! Unafikiria nifanye nini?”
124
Katika barabara ya mijini, Bobby anakaa kwenye gari lake aina ya Chevelle, ako karibu kufanya uhalifu kwa matumaini ya kumpata mpenzi wake.
200
iza linashinda. Jihadhari na Hifadhi, Sehemu ya II.
201
Bunduki ndogo mkononi, Bobby anakwenda kwenye duka la dawa ya miti-shamba ya Kichina.
202
Bobby anamkabili mganga wa miti-shamba, mkewe, na wateja wengine walio ogopa.
203
“Ninadai mitishamba hii.” “Sijui…” KWA KISHINDO! “Umeijua sasa?”
204
Wanapokabiliwa na vurugu kama hii, mganga wa miti-shamba anakubali
205
Bobby anafanya mapumziko, lakini kitongoji hiki cha mji wa China kina walindaji wake.
206
Lam na Chow wanamfuata Bobby kwa pikipiki, na Lam hana aibu akiwa anaonyesha bunduki.
207
Makabiliano ya karibu huku glasi zikimwagika, wakati huo bunduki ya Lam aina Kaliba-45 inakaribia kumpiga Bobby.
208
Jihadhari na lori hilo la takataka! Bobby anakuepa na kuikosa.
209
Lam na Chow hawana bahati na lori hilo. Wacha kilichobaki kwao kipumzike kwa amani.
210
Gari la Bobby aina ya Chevelle linaenda moja kwa moja kwenye jarida.
211
Kumbukumbu za uandishi wa habari za mwaka wa 1975 zinabaki zikiwa zimetawanyika kila mahali wakati Bobby anatoroka kuelekea barabara kuu kutoka kwa polisi wanaokaribia.
212
Bobby anaruka lango huku askari wakimfuata kwa kasi sana.
213
Bobby anatembea kwa mleo kuelekea kwenye gari moshi linalokaribia.
214
Bobby hafikii gari moshi kabisa, huku akiacha polisi nyuma.
215
Sanduku kutoka kwa mganga wa miti-shamba – sanduku la thamani – Bobby bado analo.
216
Vituo vya njia zinazopitia chini ya ardhi katika enzi hizo vilikuwa hatari, na wahusika wengine wenye udadisi wanamchukulia Bobby kwa mshangao.
217
Chevelle yake iliharibika, Bobby lazima aanze safari na kontrakta aliyemsaidia kurudi kwenye hifadhi.
218
Hapa ndipo ubadilishanaji ulipopendekezwa: sanduku la thamani kwa bomba la thamani.
219
Lakini Daktari Vragov anamdanganya Bobby. Maskini Bobby.
220
Daktari Vragov anafanya yaliyomo ndani ya sanduku kuwa kitu ambacho yeye huiweka kwenye modeli B-29 unaodhibitiwa na redio.
221
Ndege ya Daktari Vragov inapaa juu ya Shule ya Upili ya Pleasant.
222
Ndege inasambaza kemikali juu ya wanafunzi wasio na hatia, na wasio na habari yoyote.
223
Katikati ya darasa la Kiingereza, Brenda anahisi kitu kitamu.
224
Katika elimu ya mazoezi ya mwili, Nancy alibadilishwa mafikira na kitu….kidanganyifu. Jihadharini na mpira huo, Nancy!
225
Mchocheaji Pamela amelemewa na kitu hewani…cha kuvitia hadi ana angusha vitabu vyake.
226
Ikilinganishwa na kile Sandra anachohisi sasa, chakula cha mchana cha shule kwa kawaida huwa hakivutii…sana.
300
Kitu cha kushangaza na cha kike kinajitengeneza ndani ya bomba. Jihadharini na hifadhi, Sehemu ya III.
301
Baiskeli za Brenda pekee chini ya anga ya kutisha kwa hifadhi.
302
Billy na Nancy wanaelekea kwenye hifadhi wakitumia gari la Billy.
303
304
Chini kwenye barabara iliyo kando, Billy asukumwa kando na mwale wa kifo, wakati Nancy amemezwa hadi ndani ya hifadhi.
305
Zhelezor amemshika Mike, wakati Pamela anapigana asimezwe.
306
“Kwanini chumba hiki kiko safi sana?” anafikiria Pamela, akiwa hajagundua mpenzi wake Charlie ameshikwa nyuma yake.
307
Mashine zinamkamata na kumvua nguo Sandra.
308
Zhelezor mwenye macho mekundu ako katika harakati za kumfuata Brenda kwenye eneo la hifadhi.
309
Brenda anapata kile anachofikiria ni salama wakati anapopita kupitia mlango mdogo sana kwa Zhelezor roboti, lakini mwanga huu ni nini?
310
Ni mnara wa taa, Brenda. Upo kwenye jukwaa, na kitendo chako sasa kimeanza.
311
Wanyakuzi wa mitambo wanaenda kuwafanyia kazi wasichana.
312
Nancy, Pamela, na Sandra wanaoshwa kwa nguvu.
313
Brenda anasimama, mara moja anaoshwa na kuuawa.
314
Pamela anapigwa mijeledi kupitia mtandao wa hifadhi ya mabomba ya nyumatiki.
315
Nancy, Pamela, Sandra, na Brenda wote wamepunguzwa kutoka kuwa wasichana.
316
Jamii ya Bonde la Pleasant imekasirishwa na kupotea kwa watoto wake, na polisi hawana majibu.
317
Daktari Vragov anaenda kufanya kazi, kutengeneza msichana wa kijani goo hadi awe grisi nyeupe ya kushangaza.
318
Kando ya hifadhi, askari wa pikipiki ya tahadhari anaona kitu maalum kuhusu leseni kwenye gari lililoachwa.
319
Timu ya polisi wa SWAT inaingia katika hifadhi.
320
Lakini hifadhi hiyo ni safi. Hakuna kitu cha kupatikana, ila chakavu cha kile ambacho mara nyingine kingekuwa mavazi ya msichana.
321
Katika kilabu cha posh huko London, Daktari Vragov na washirika wengine tajiri wa biashara wanahitimisha shughuli ya pesa nyingi kwa grisi nyeupe.
322
Katika bafu ya kifahari, mwanamke wa umri wa makamo anaweka grisi nyeupe.
323
Grisi hiyo nyeupe inayeyuka, na mwanamke huyo mwenye umri wa makamo anapotea kwenye povu hiyo.
324
Mahali ambapo palikuwa na mwanamke mwenye umri wa makamo, sasa kuna msichana mdogo mzuri.
325
Asubuhi safi nje ya jumba nzuri la Tuscan, Daktari Vragov anafurahia kifungua kinywa kizuri.
326
Daktrari Vragov anakunywa kahawa yake na anafurahiya muonekano wa jiji la Florence hapo chini.
327
Daktari Vragov anatoa chupa ya kioevu iliyo na rangi ya kijani, inaipeleka kwa maabara yake ya chini, na kufanya mihemko ya kemia hapo.
328
Daktari Vragov anamwaga kioevu kilichosindikwa katika vifaa vya ajabu vya bomba.
329
Ndani ya bomba kuna povu za mwanzoni, halafu kitu cha kike kina anza kuonekana.
330
Paka kike kilicho uchi, kinafanana na vile Karen alivyokuwa, kinatoka kwenye bomba.
331
Daktari Vragov anamuita paka wake mpya na kumpa maziwa. Lazima awe na njaa!
332
Huduma ya paka mdogo wa kike.
333
Paka wa kike wa Daktari Vragov anaketi kwenye paja yake. Karibu nimsikie akikoroma.
Jalada hili lina Chunga Hifadhi, vibonzo vya mtandao uolidhinishwa na kuandikwa na Iago Faustus (“Faustus” jina la fumbo) na kuonyeshwa na Rafael Suzarte (“Suzarte”), kuongezea seti ya maelezo mafupi ya ukurasa yaliyoandikwa na Faustus na kutafsiriwa baadaye kwa lugha mbalimbali.
Picha zote na maelezo mafupi kwenye kumbukumbu hili yamechapishwa chini ya leseni ya Kimataifa ya Attribution-NonCommerce-ShareALike 4.0, maelezo ambayo yanaweza kupatikana katika https://creativecommons.org/licenses/by-nc-sa/4.0/. Jisikie huru kunakili na kueneza jalada hili jinsi unavyopenda, mradi tu uwapongeze Faustus na Suzarte, lakini usijaribu kupata pesa kutoka kwa sanaa, hadithi, wahusika, au hali zilizomo hapa. Tafadhali kumbuka kuwa haki za maadili za waundaji zinabaki sawa chini ya leseni hii.
Faustus ndiye mmiliki wa picha, maelezo mafupi, na tafsiri hivyo anaweza kutoa hati ya kisheria kwa leseni ya Ubunifu kwa hiari yake. Faustus anaweza kuwasiliana na yeyote kupitia wavuti yake kuu https://eroticmadscience.com, kwa anwani za barua pepe faustus@eroticmadscience.com na iago.faustus@gmail.com, au kwa simu kwa +1-347-460-3299.
Suzarte ana tovuti ya kitalaam ambayo ni https://suzarte1.portfoliobox.net/ na unaweza kuwasiliana naye kupitia tovuti hii.